Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,415
- 17,853
Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii Gani alioimba ule wimbo ndio nikakutana na huyu mwamba wa kuitwa Jay Combat.
Huyu jamaa anaimba sio kitoto aisee nimemshangaa sana eti yupo kwenye game Toka 2009 ila hajulikani kiivyo isipokuwa kwa mkoa wa Morogoro,
Binafsi nakupa hongera sana bro pengine wakati wako ulikuwa hujafika ila naweza sema huu ndio wakat wako Tanzania yote wakujue kwamba wewe ndio king wa singeli kwasasa na ninachokukubali zaidi nyimbo zako nyingi naweza sikiliza hata mbele ya mzazi wangu maana hazina maneno ya ovyo ovyo umenikumbusha wasanii wangu pendwa Dogo Mfaume na Jack Simela ( wote wapumzike kwa amani) kaza buti na ushikilie hapo hapo bro natumai watu kukuona kwenye matamasha makubwa kama wasafi festival, fiesta, Efm singeli festival nk
#mziki hisia
#kwa heshima.
Baadhi ya nyimbo zake ni