Msando pamoja na kuomba msamaha ila kwa ukweli umetugarimu wababa wenzako.

Kila mtu ana yake nyuma ya pazia, hakuna kuichekana. Mwenzetu limebumbuluka leo kesho litabumbuluka la mwingne na mwingne. Hayo ndio maisha
 
Mwenye namba ya Gigy tafadhali.
Nataka nithibitishe tuu kama ni kweli ananuka nyapu.
 
Kuna wanaosema jamaa kashuka kwenye Ranger rover (wife) kapanda bajaji(gigy). Nyie jamaa mnasoma makava ya vitabu badala ya kurasa. Yaan kwakuwa A ana msambwanda mkubwa ndo mnadhani anaweza gwaride kuliko B mwenye msambwanda mdogo? Mngejua walivyo wavivu mngekaa kimya tu. Hamna kitu hapo ni kujamba tu kwa kwenda mbele.
HAHAHAHAHAHA una maneno......kila sheitwani na mbuyu wake bibie....
 
ila hakuna cha ajabu hapo..... kafanya uanaume halisi......hilo tifu la homu duh.... na wakipata cha kusema na kina ushahidi.....utajuta....
 
Daaah sijui alikosa nini kwa mkewe.
Msando mwenyewe anafahamu anachokikosa na anachopata huko kwingine. Hao Wadada/Wamama mnaoona hawana figure na reception nzuri wanafidia mapungufu yao kwa kujituma kunako 6 x 6.
 
Daaah sijui alikosa nini kwa mkewe.
Labda alikuw hapewi ipaswavyo..mamno ya ndoa ni siri sana. Usikute alishawekewa ratiba ya kupiga mambo ikishapita ndo imetoka. Lakin daaah pole sana maana mejidharaulisha kwny umma wa watz
 
Kuna wanaosema jamaa kashuka kwenye Ranger rover (wife) kapanda bajaji(gigy). Nyie jamaa mnasoma makava ya vitabu badala ya kurasa. Yaan kwakuwa A ana msambwanda mkubwa ndo mnadhani anaweza gwaride kuliko B mwenye msambwanda mdogo? Mngejua walivyo wavivu mngekaa kimya tu. Hamna kitu hapo ni kujamba tu kwa kwenda mbele.
Hahahahahahahhaha we mbaya
 
Thread ya namna hii kuletwa na mwanaume ni aibu.Acha unafiki,wengine wakiwa nje ya upeo wa macho ya wake zao wanazibua mitaro na kufanya upuuzi zaidi ya huo wa Msando.Mnashangaa mtu kupapasa namna hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom