Msalato, Mzumbe, Tabora Boys, Minaki na nyingine za vipaji maalum ziko wapi?

Kupata divisheni 1 kwenye mtihani wa taifa!
Messi, Ronaldo, rooney, neymar and the alike wanavipaji vya mpira, huku kwetu kukremisha kumbe ni kipaji??? anyway lets assume wako sahihi, je hiyo (div 1 kama kweli ni kipaji) imesaidia nini nchi yetu???
 
Messi, Ronaldo, rooney, neymar and the alike wanavipaji vya mpira, huku kwetu kukremisha kumbe ni kipaji??? anyway lets assume wako sahihi, je hiyo (div 1 kama kweli ni kipaji) imesaidia nini nchi yetu???

Hahaha...mimi binafsi sidhani kuwa mtu anayepata divisheni 1 ana kipaji maalum.
 
Utaambiwa Una chuki na walioenda vipaji maalum na mawakili wasomi aka wazee wa noble profession including ambulance chasing attorneys

Mazee, hata mimi nilipataga divisheni 1 nzuri kabisa lakini sidhani kama nina kipaji maalumu.

Hivi kwa mfano, hao waliosomaga kwenye hizo shule za vipaji maalumu na ambao ndo supposedly wana vipaji maalumu, wako wapi sasa hivi?

Ndo akina Tundu Lissu? Pasco wa JF?
 
Kwa serikali haioni aibu kuendelea kuua vipaji vya watoto wetu wenye vipaji kwa kuwapeleleka shule inayoshika nafasi ya 123 au ya 153 eti ni za vipaji.

Nadhani sasa iwapeleke hao watoto wenye bongo zinazochemka kwenye shule kama Alliance, Kaiziragi, Feza, Marian n.k ione kama haijazalisha akina Isaac Newton, Abbot etc.
 
All in all facilities za shule za uma ni mbavu mno kama mwana ilboru nasikitika ukweli watoto wanashindia kande je anaweza kushindana na mtoto wa feza anakula buffet asubuhi mpaka Jioni
 
Huwezi kuchukua top perfomers halafu uwalipe mshahara mbuzi. Serikali inanufaika na hawa walimu wenye ufaulu mdogo kwa kuwalipa pesa kidogo.

Ni mtazamo wangu.
Hii mipesa wanayolipwa wanasiasa kwa ajili ya kutupiana mipasho na kususia vikao vya bunge zinatosha sana kuwalipa waalimu na kuwahamasisha.
Waalimu na wanataaluma wengi wamekimbia fani hii ya ualimu kwa sababu ya naslahi duni hata magu anajua.
Ifike wakat sasa ualimu iwe km udaktari urubani na kazi nyingne sio ilivyo sasa kwamba ni taaluma ya waliofeli
 
MINAKI ni shule yenye A-LEVEL tu, hivyo hukupaswa kuitaja hapa kwenye matokeo ya O-LEVEL
 
Back
Top Bottom