Pre GE2025 DSM Msajili wa Vyama vya Siasa asema tayari hatua zimechukuliwa dhidi ya Amos Makalla kuhusu CHADEMA kununua virusi vya M-pox na Ebola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,299
6,314
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.

1742969035375.png
Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua zinazostahili kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258, hata kabla ya kupokea ombi la ACT Wazalendo.

GmtPGBhbQAARR97.jpg
Msajili wa Vyama vya Siasa, kupitia kwa Naibu wake Sisty Nyahoza, ameeleza kuwa ofisi yake hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua zinazohitajika bila kusubiri mapendekezo kutoka kwa taasisi au mtu yeyote.

"Msajili anakushukuru kwa mapendekezo yako na anapenda ufahamu kuwa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa huchukua hatua katika matukio kama hayo kwa mujibu wa sheria, hata bila ya mapendekezo ya mtu au taasisi yoyote," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Soma: Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

ACT Wazalendo, kupitia Katibu Mkuu wake, Ado Shaibu, walikuwa wamewasilisha barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa wakipendekeza hatua zichukuliwe dhidi ya Amos Makalla kutokana na kauli alizotoa kwenye mkutano wa hadhara mkoani Simiyu tarehe 22 Machi 2025 za madai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. ACT ilizitaja kauli hizo kuwa za kizembe na zenye lengo la kuzua taharuki.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikufafanua hatua mahsusi ilizochukua dhidi ya malalamiko hayo lakini imeeleza kuwa inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma:
 
Hata polisi ,watu wakitekwa kauli ukisikia hatua zimechukuliwa au litafanyiwa uchunguzi ujue ishapita hiyo.
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.

Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua zinazostahili kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258, hata kabla ya kupokea ombi la ACT Wazalendo.

Msajili wa Vyama vya Siasa, kupitia kwa Naibu wake Sisty Nyahoza, ameeleza kuwa ofisi yake hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua zinazohitajika bila kusubiri mapendekezo kutoka kwa taasisi au mtu yeyote.

"Msajili anakushukuru kwa mapendekezo yako na anapenda ufahamu kuwa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa huchukua hatua katika matukio kama hayo kwa mujibu wa sheria, hata bila ya mapendekezo ya mtu au taasisi yoyote," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Soma, Pia: ACT Wazalendo yamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Makalla kauli ya CHADEMA kutaka kupandikiza M-Pox na Ebola nchini

ACT Wazalendo, kupitia Katibu Mkuu wake, Ado Shaibu, walikuwa wamewasilisha barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa wakipendekeza hatua zichukuliwe dhidi ya Amos Makalla kutokana na kauli alizotoa kwenye mkutano wa hadhara mkoani Simiyu tarehe 22 Machi 2025 za madai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. ACT ilizitaja kauli hizo kuwa za kizembe na zenye lengo la kuzua taharuki.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikufafanua hatua mahsusi ilizochukua dhidi ya malalamiko hayo lakini imeeleza kuwa inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Soma: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
ole wa nchi na bahari ile kauli ingesemwa na chadema.makala ataendelea kupeta tu
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.

Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua zinazostahili kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258, hata kabla ya kupokea ombi la ACT Wazalendo.

Msajili wa Vyama vya Siasa, kupitia kwa Naibu wake Sisty Nyahoza, ameeleza kuwa ofisi yake hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua zinazohitajika bila kusubiri mapendekezo kutoka kwa taasisi au mtu yeyote.

"Msajili anakushukuru kwa mapendekezo yako na anapenda ufahamu kuwa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa huchukua hatua katika matukio kama hayo kwa mujibu wa sheria, hata bila ya mapendekezo ya mtu au taasisi yoyote," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Soma: Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

ACT Wazalendo, kupitia Katibu Mkuu wake, Ado Shaibu, walikuwa wamewasilisha barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa wakipendekeza hatua zichukuliwe dhidi ya Amos Makalla kutokana na kauli alizotoa kwenye mkutano wa hadhara mkoani Simiyu tarehe 22 Machi 2025 za madai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. ACT ilizitaja kauli hizo kuwa za kizembe na zenye lengo la kuzua taharuki.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikufafanua hatua mahsusi ilizochukua dhidi ya malalamiko hayo lakini imeeleza kuwa inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma:
Labda kama amechukua hatua za miguu yake mwenyewe maana kwa akili ndogo tu taasisi iliyoundwa na CCM haiwezi kushughulikia wahalifu kutoka CCM. Ni sawa na mbuzi wa Bw. Kheri kula mahindi ya Bw. Kheri katika shamba la Bw. Kheri. Sasa Bw. Kheri atashitaki wapi?
 
Hawa ndiyo wasomi walioishia kuwa wajinga kuliko mtu ambaye hajawahi kwenda shule hata darasa moja.

Jaji mzima anapiga porojo badala ya kutoa majibu. Majibu ni mawili tu:

1. Hatuwezi kuchukua hatua dhidi ya aliyetuweka.
Au

2. Tumechukua hatua: ya kwanza ....., ya pili ......

Lakini hizo porojo zake, anadhani sote ni wajinga kama yeye!!

Kuondokana na wajinga kama hawa;

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.

Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua zinazostahili kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258, hata kabla ya kupokea ombi la ACT Wazalendo.

Msajili wa Vyama vya Siasa, kupitia kwa Naibu wake Sisty Nyahoza, ameeleza kuwa ofisi yake hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua zinazohitajika bila kusubiri mapendekezo kutoka kwa taasisi au mtu yeyote.

"Msajili anakushukuru kwa mapendekezo yako na anapenda ufahamu kuwa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa huchukua hatua katika matukio kama hayo kwa mujibu wa sheria, hata bila ya mapendekezo ya mtu au taasisi yoyote," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Soma: Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

ACT Wazalendo, kupitia Katibu Mkuu wake, Ado Shaibu, walikuwa wamewasilisha barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa wakipendekeza hatua zichukuliwe dhidi ya Amos Makalla kutokana na kauli alizotoa kwenye mkutano wa hadhara mkoani Simiyu tarehe 22 Machi 2025 za madai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. ACT ilizitaja kauli hizo kuwa za kizembe na zenye lengo la kuzua taharuki.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikufafanua hatua mahsusi ilizochukua dhidi ya malalamiko hayo lakini imeeleza kuwa inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma:
Mutungi ni mojawapo wa majaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea nchi hii.
 
Kuna malalamiko ya ukiukwaji wa taratibu za chama kumpitisha mgombea urais na hilo amelishughulikia kama anavyohangaika malalamiko ya upinzani?
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla.

Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua zinazostahili kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258, hata kabla ya kupokea ombi la ACT Wazalendo.

Msajili wa Vyama vya Siasa, kupitia kwa Naibu wake Sisty Nyahoza, ameeleza kuwa ofisi yake hufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua zinazohitajika bila kusubiri mapendekezo kutoka kwa taasisi au mtu yeyote.

"Msajili anakushukuru kwa mapendekezo yako na anapenda ufahamu kuwa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa huchukua hatua katika matukio kama hayo kwa mujibu wa sheria, hata bila ya mapendekezo ya mtu au taasisi yoyote," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Soma: Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

ACT Wazalendo, kupitia Katibu Mkuu wake, Ado Shaibu, walikuwa wamewasilisha barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa wakipendekeza hatua zichukuliwe dhidi ya Amos Makalla kutokana na kauli alizotoa kwenye mkutano wa hadhara mkoani Simiyu tarehe 22 Machi 2025 za madai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. ACT ilizitaja kauli hizo kuwa za kizembe na zenye lengo la kuzua taharuki.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikufafanua hatua mahsusi ilizochukua dhidi ya malalamiko hayo lakini imeeleza kuwa inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

Pia, Soma:
Nakala ya barua Iko wapi
 
Back
Top Bottom