Mkuu wa Kitengo cha Habari wa ofisi ya Msajili wa Hazina, Gerard Chami, jana alisema kuwa ofisi yake haiwezi kubadilisha mkataba wa umiliki wa Uda.
“Msajili anakamata hisa za serikali ambazo ni mali ya Watanzania, hazihusiani kwa namna yoyote na hisa asilimia 51 za Jiji ambazo walishaziuza kwa kampuni ya Simon Group. Tunashangaa wanapotaka tuingilie mambo yao ambayo kimsingi hatuhusiki,” alisema Chami.
Vilaza wamejaa sana kwenye serikali. Huyo huyo mtu anasema hisa za jiji zilishauzwa. Yeye ana ukahika gani, au analazimisha kuaminisha watu, huko sio kuingilia?