Hujui chochote kuhusu kesi ya lema hata sijui nianzie wapi kukuelimisha lkn nakuacha na swali KAMA MAHAKAMA HAIKUMWAMBIA CHOCHOTE KUHUSU DHAMANA YAKE HIYO RUFAA WANAKATIA NINI?
Kweli hujui chochote mahakama haikukataa kumpa dhamana ilimpa dhamana na ilimueleza kuwa ana haki ya kudhaminiwa bali limetolewa zuio au certificate kutoka kwa DPP ambaye ana haki kisheria kufanya hivyo rufaa iliyopo mahakama kuu kwa sasa sio dhidi ya mahakama ya chini bali dhidi ya DPP aondoe certificate. Sasa unajisifia unajua hapo unajua nini? Unaituhumu mahakama imefanya kosa gani?Wewe ndio hujui lolote kabisa, rufaa wanaikata kwa kuwa haikutolewa fursa ya dhamana.. kumbe unakurupuka? ungefatilia kwanza ndio utoe hiyo judgmental yako ya kuniambia sijui chochote
Kuna mzizi mmoja umeenda ndani zaidi.Akili yangu imegoma kuamini hili
mahakama haitakuwa huru 100% kama mfumo wa uteuzi katika mhimili wa mahakama unafanywa na wanasiasa kamwe. pia bajeti ya mahakama ilipaswa kutoingiliwa na muhimili wa serikali.
Lakini ukumbuke kuwa Msajili wa Mahakama ni jaji, 'mtumbuaji' ana uwezo wa kumteua lakini hana uwezo wa kumtengua 'kumtumbua' kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania. Labda amtumie jaji mkuu amhamishie Kigoma ujijiBora hata mtu akitumbuliwa lakini ukweli umewekwa wazi na haki inapatikana
Siyo kweli...Haki mbona inatendeka kila leo?
Siyo kweli...
Ingekuwa hivyo basi hata Yesu asingekuja duniani..