Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

Huyo mama mtetezi wa mashoga ana matatizo kweli walahi
Fyeeekelea mbali tu hamna namna
 
Queen ni ana ceremonial role ya kiutamaduni na nafasi yake kama head of state si ya kiutendaji. Kinyume chake, Magu wetu nafasi yake ni ya kiutendaji (executive role). Motorcade ya malkia ni ceremonial zaidi ya ulinzi wakati motorcade ya sizo ni ya kiulinzi zaidi. Malkia bado ni head of state (ceremonially) wa nchi nyingi sana kama vile Canada, new Zealand, Australia, yaani kila unakosikia kuna Waziri mkuu ujue mkubwa wao ni malkia.
Umeongea vyema
 
Nadhani huku ndio kukariri kuwa magari yenye garama kubwa mno pengine kuliko yote duniani ni TLC V8 pekee.
Hivi unadhani marais wote duniani wanaendeshwa katika magari ya gharama kubwa? ishu ni gharama hapa
 
Back
Top Bottom