Msaada: Whatsapp kwenye simu ya tecno

Tumia so

Nimekupata , kwa kuwa apps zingine zinakubali kuwa downloaded via playstore Suluhisho ni hili hapa.

1.Nenda playstore download app inaitwa DISA
2; Baada ya ku install fungua kisha Bonyesha Add Service
.
erszZa8.png

3;Baada ya Click add service itafunguka window yenye huduma za disa kama hii chini.
Tap Whatsapp plugin kudownload whatsapp
y2su4l3.png

4;Ita download & install WhatsApp plugin . Baada ya plugin kuwa installed, itakwambia u- Restart Disa App, Tap on “Restart Disa
”.
hUJtwX8.png

5; Baada ya ku restart disa app itaonekana kama picha ya chini. Itakupa ujumbe, WhatsApp Settings Needed
noGSHFm.png

6; Endelea kwenye setting wizard malizia kuweka number whatsapp itafunguka.
Rudia the same process kwa facebook.

Kwa hiyo utakuwa unapata notification-Messages kama kawaida kupitia disa
 
asante
 
hii mbona haitengenezi independent shoti kati, mpaka upitie disa halafu haienroll contacts automatically
 
hii mbona haitengenezi independent shoti kati, mpaka upitie disa halafu haienroll contacts automatically
Contacts unazotaka stoked
hii mbona haitengenezi independent sho
kati, mpaka upitie disa halafu haienroll contacts automatically
Edit contact zako Kwa kuongeza +255 zitatokea kwenye Disa.
Ndio utatumia WhatsApp kwa kutumia disa na new messages zitapopout kama kawaida.
Tofauti ni icon tu.
 
Kwanza upo wapi mimi nipo magomeni kama unaweza njooo nitakusaidia tatizo lako hilo piga sim nambari 0715073490 au 0687685914 nitakusaidia hilo tatizo
 
Hizo tecno w3 ni hovyo sana lakini wengi wanazikimbilia kutokana na Ukubwa wa screen lakini ni za hovyo Sana.
Kuna mtu mmoja alinunua juzu hapa; unadownload video hadi mwisho lakini ukitaka kuitazama haipo kwenye simu.
Ni simu za hovyo sana hizo
wataalamu habari!
mie nina shida la kudownload application ya whatsapp na facebook, kila nikijaribu kudownload nafankiwa kabisa ila pale ninapotakiwa kuweka namba ya simu ,basi inakuja alert ya mtandao kuwa chini najaribu mara kibao ,check your internet connection,naamua ku ~uninstall ,yaan mchezo ni huo.
Lakn nkinstall apps nyinginezo znakubal.
Msaada tafadhal ,simu ni tecno w3. nina muda wa miezi miwili natumia simu híi.
 
Ndugu pamoja na maoni yote hayo ila hebu hakiki kwanza mtandao unao tumia una network nzuri. Ishindikana line unayotaka kusajili whatsapp weka kwenye simu nyingine kisha kwenye hiyo tecno weka line ya mtandao ambao upo stable kiaha jisajili. Hapo ishu ni mtandao unao tumia.
 
Jamani nmebatka kui download kuptia wi-fi, ya jamaa n shida tupu sjui ipo slow au imestuck, nikutuma msj inadelay iktokea nmeizma simu ndo naweza kupokea chats
 
Ndugu pamoja na maoni yote hayo ila hebu hakiki kwanza mtandao unao tumia una network nzuri. Ishindikana line unayotaka kusajili whatsapp weka kwenye simu nyingine kisha kwenye hiyo tecno weka line ya mtandao ambao upo stable kiaha jisajili. Hapo ishu ni mtandao unao tumia.
airtel H+,halotel, ndo mitandao nnayotumia
 
Back
Top Bottom