Msaada Wataalam wa Graphics na pc kwa ujumla

pc zinakuwa na configuration tofauti, inawezekana kuna pc kama hio ina nvidia ila yako haina.

game gani linalag? hio gpu inaweza kucheza games zote kama hutajali quality

Fifa 17 ndio hata ku open lina open then linaleta error ya direct X
 
inistall direct x download on microsoft web, au ingia sehem ambako uliextract file la gemu tafuta humo unaweza kuta file la direct x

DirectX haina tatzo ila kuna mambo inaleta alafu game linakua black background ukiclose error lina close na nime install directX mara kadhaa bila mafanikio
 
Msaada Wataalam Wa Graphics
Nina laptop yangu Acer TravelMate P653-M nikisearch graphics Drivers ambazo zipo supported naona latest ni Intel hd 4000 na Nvidia Geforce 640...tatizo linakuja katika ku update automatic inaleta intel hd graphics 4000 haiji Nvidia pia nikidownload driver za Nvidia zinakataa kuinstall...pia wapo wanaosema kuwa siwezi kutumia tofauti na manufacturer ambae ni Intel je hapa kuna ukweli wowote? Msaada tafadhali...
Tumia Driver park 17.1v
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom