Msaada wakuu; Mke wa mtu anasema ana mimba yangu

Mkiambiwaga mke wa mtu ni sumu hamkubali haya maji uliyoyavulia nguo lazima uyaoge
 
HIVI kizazi hiki kimekumbwa na mdudu gani asiyetupa hata mwanya wa kutumia bongo zetu katika kutafakari na kuchambua mambo mepesi kama hili! Kweli haituingii akilini kuwa km mtu atazini na mke wa mtu na kudai kumpa ujauzito, mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wa mume wa mwanamke...na si wa mzinzi huyo anayepaswa kulaaniwa!!!
 
Wiki mbili zilizo pita nilichepuka na mwanamke moja pande za tabata mwanmke huyu tulijuana tokea 2014 yeye akiwa moshi mimi DSM.

Tulijuana kupitia mitandao ya kijamii ikawa WhatsApp kwny grp moja lilikua la watu wakijijini kwetu tukaja kupotezana tokea mwaka huo mpk mwaka huu January ndio akanitafuta kupitia Facebook mana namba Yangu ya mwanzo nilikua situmii tena.

Akaja DSM tukaonana kwa mara ya kwanza kila moja kavutiwa na mwenzake lkn yy ni mke wa mtu na ana watoto wawili baada ya kuonana nika mwacha mana alishukia kwa kaka yake na tulikutania ubungo nika msindikiza hadi gongolamboto nikabaki stend yy akaondoka.

tukaendelea kuwasiliana ndipo tulipopanga tukutane ili tufanye mapenzi tukakutana tukafanya alifill mziki na akanisifu sana ni kwa mara ya kwanza kupata huduma bora km hyo na akanambia yuko siku za hatari nisi weke wazungu ndani nikajitahd japo nilishindwa kuhimili nikawa nusu nawamalizia nje ikapita hy ilikua mwez wa pil mwanzoni.

Juzi tena akanitafuta akiwa kwenye siku za hatari na alinitahadharisha mwanzo nilifanya kama hawamu ya kwanza zimepita wiki mbili tokea tufanye leo amenipigia sim asubuhi akanambia anajihisi vibaya akaenda kupima akakuta ana mimba.

Je, niamini au nimepigwa chenga ya mwili na inaelekea kaachana na mumewe.
Mkuu hiyo issue kubwa, na kutoa mimba ni dhambi xo kheri umchukize binadamu ila umpendeze Mungu...... Mwache dogo aje anaweza kuwa Magufuli huyo
 
HIVI kizazi hiki kimekumbwa na mdudu gani asiyetupa hata mwanya wa kutumia bongo zetu katika kutafakari na kuchambua mambo mepesi kama hili! Kweli haituingii akilini kuwa km mtu atazini na mke wa mtu na kudai kumpa ujauzito, mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wa mume wa mwanamke...na si wa mzinzi huyo anayepaswa kulaaniwa!!!
Unajua back story au unalipuka km jipu la makalio
 
Ahahahahha sina majibu kuntu mze
f2b94c22f2707af18b942e41f661ff4a.jpg
Umeamua kwenda kugida gongo iliyohalalishwa?
Una hamu ya kunusa harufu ya mishkaki ya maini yako mwenyewe.
 
Ila kwajinsi alivyo sio mtu wakupenda pesa kifupi anajiweza ila hata kama aki taka pesa itakua ngum mana sijawahi kufanya hvy na nilisha mwambiaga sipend kuombwa hela ni silika ya kipare wanaume hatu hongi
Vizuri sana, hongera sana. Atakuwa hakudanganyi.....kuwa karibu naye tu
 
M
Kama huyo Dada ni wa kutoka Arusha...naomba usimwamini kabisa!. Ila kama hatokei huko basi fanya uwezalo....Wa Arusha ni waongo hakuna mfano...anatafuta gia za kukutoa pesa tu hapo!
Mke wa mtu akupata mimba nje ya ndoa? mmmmh makubwa...
 
Kama huyo Dada ni wa kutoka Arusha...naomba usimwamini kabisa!. Ila kama hatokei huko basi fanya uwezalo....Wa Arusha ni waongo hakuna mfano...anatafuta gia za kukutoa pesa tu hapo!


Hii naona imezungumzwa with authority. Naomba mdada Valentina unjoo haraka pande hizi aisee ujibu haya mashtaka huku mkuu
 
Duh walioolewa wanatake for granted na ambao hawajaolewa wa naomba usiku na mchana wapate hiyo nafasi duh
 
Back
Top Bottom