Msaada wadau: Gesti nzuri maeneo ya Tengeru/Usa river.

Habari wadau wa JF hasa ndugu zangu wa Arusha.

Nina ugeni siku chache zijazo wa wiki nzima na kutokana na eneo la kazi na kufanikisha mipango yao ningeomba kuzitambua nyumba nzuri za wageni kwa maeneo tajwa hapo juu Tengeru/Usa river pamoja na makadirio ya gharama kama inawezekana.

Nikipata hata anuani ama namba za simu za wahusika nitashukuru sana.

Nategemea iwe ni sehemu ya kistaarabu bila kujali gharama.
Hahahaa! Mkuu inaonekana kabisa hujawahi kuchapia mzigo gesti, sasa umepata shantushe huko ndo unatafuta pa kulikazia. Inaonesha fika umezoea kuchapia vichakani au vichochoroni. Hapo user river gest zimejaa kibao hata opposite na Njeree Bistro kama unapafaham
 
Dah, kaka unanikosea sana!
 
Back
Top Bottom