chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,736
Hapo kwenye red umenichanganya mkuu, sijakufahamu kabisaMkuu ukiwa huna uhakika na jambo ni vizuri sana ukanyamaza, I mean ukae kimya, hii ni busara zaidi, ikiwa unachoongea ni kweli sidhani kama production ya haya magari ingeendelea.
Tuwe makini sana.