90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 427
- 510
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba bila uthibitisho watu wasije muona kama tapeli, anaumia sana anahisi anaenda kumpoteza binti yake.
Sijajua aende ofisi ya mkuu wa mkoa au ya halmashauri ya wilaya au wapi hasa. Msaada tafadhari