Msaada wa namna ya kutunza nywele

Wakuu mi hii ni mara yingi na mpaka mida hii natumia super black kwa nywele zangu na je inaweza kuwa na madhara yoyote kichwani na mwilini kwa ujumla..??? naomba msaada kwa wanaoelewa na hasa nn mbadala wa super black nataka niachane nayo maana nimeanza kuichoka mpaka saivi

Msaada pleease kwa wale walio na uelewa.....!!!
Mkuu ngoja wataalamu waje maana wengine tukipaka black inakuwa ishu maana yake kunauwezekano wa kupata madhara(pengine kwa baadhi ya watu kama mimi)
 
Ahsante sana mkuu hiyo nitaijaribu ila ina namna ya kutumia au unachukua tu maziwa kasha unasugulia kichwani?
Earli in the morning unapaka mtindi huo kishwqa kizima una kaa muda wa dakika 15~30..
kisha waosha na maji ya kawaida fanaya kwa mara 2/3 kwa weeki..(pref: siku zisizo na kazi) !!
Matokeo inshallah mazuri!!
 
Ahsante sana. Ubarikiwe maana vitu natural ndio navikubali zaidi. Ntalifanyia kazi hili In Sha Allah
 
Mkuu mimi sipendi kuitumia superblack basi tu inanibidi nifanye hivyo kwa sababu sijapata mbadala wake nikipata nitaacha kuitumia kabisa kwa wenye uelewa wa mbadala wa black atusaidie au anisaidie jamani
 
Nimekuwa nikiwa na nywele ndefu (kichwani) kwa muda mrefu tu hasa kutokana na nature ya kichwa changu.

Sasa nywele mara ziwe ngumu mara zifubae rangi. Sasa kwa wale watalamu wa nywele ni mafuta gani mazuri ya kulainisha nywele pamoja na kuhifadhi rangi nyeusi ya nywele kutokufubaa?
Ukitaka kuwa na nywele nzuri laini,black tumia mafuta ya DABUR AMLA HAIR OIL ila Kuna AMLA TARA hii hupatikana kwa cosmetic shop kwa wingi ila kiboko ya yote ni AMLA DABUR nywele hurefuka kwa nataka sana
 
Mkuu hayo mafuta yanatumika kwa wanawake au kwa wanaume..???
 
Hii nimafuta kwa wote japo ni ya maji ila kwenye box Kuna picha ya mwanamke wa kihindi ila tumia Kuna rafiki ya mm alielekeza hayo miaka ya nyuma hakika nmeona matokeo ila kwa Dar nilijarbu kuyasaka kkoo ckuyapata kwa ajili ya ofic ya cosmetic kwa jumla.
Mafuta yanayopatikana kwa wingi ni Amla Tara japo hayawezi kufikia dabur amla,ukitaka upate uhakika ya Hili nilizunguzalo search jina la Sogurd Gudson Facebook utaona nywele zake zinavyopendeza...,kwa kutumia mafuta hata,
pia ukikoswa tumia pia Morgan pomade
 
Poa mkuu garama yake ni sh ngapi hayo mafuta dukani..??
Na kwa wale tulio na nywele za kahawia au nyekundu yanaweza kuleta muonekano mzuri kweli namaanisha kuwa nyeusi angalau msaada tafadhali maana nimetumia black hadi nimechoka....!!
 
dabur chupa kubwa range kwenye 10000 Morgan 5000
 
Wakuu mi hii ni mara yingi na mpaka mida hii natumia super black kwa nywele zangu na je inaweza kuwa na madhara yoyote kichwani na mwilini kwa ujumla..??? naomba msaada kwa wanaoelewa na hasa nn mbadala wa super black nataka niachane nayo maana nimeanza kuichoka mpaka saivi

Msaada pleease kwa wale walio na uelewa.....!!!
Huwa inaleta mvi mapema..afu inafifisha uasili wa nywele kiasi kwamba ikiisha tu kichwani hutaman tena nywele zako mpk ueke black ndio unajiona uko sawa
 
Back
Top Bottom