kinachofanya simu itumike kama remote ni infrared sensor, haijalishi iwe original au feki. zaidi ya asilimia 50 ya simu original hazina infrared hivyo pia hazitaweza tumika kama remoteMkuu solution ni ww mwwnyewe simu clone ukishika na ukichezea kidogo tu unajua hii ni clone hayo mambo mengine mbwembwe hebu jaribu kuzima Ac au kitu chochote zina remote hizo nafikiri clone hazina uwezo huo
kinachofanya simu itumike kama remote ni infrared sensor, haijalishi iwe original au feki. zaidi ya asilimia 50 ya simu original hazina infrared hivyo pia hazitaweza tumika kama remote
Hivi ww ushawahi kutumia lg kuanzia tolea la G2 series kuna list there sio kila kitu kinachotumia remote kinazima ni baadhi