Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

albert-albert

Member
Jul 14, 2013
15
3
Habari zenu jamani.naomba kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu.Mimi nilikua nasoma bs.informatics sua.lakini nimediscontinue mwaka jana kabla ya kuingia mwaka 3(mwaka huu).kwa sasa natafakari kitu cha kufanya kati ya hivi viwili 1.nitumie cheti cha form 4 kuaply diploma kozi za afya(co) au 2.nisubili application za ualimu advanced diploma.
 
Nenda ualimu wwe na application is on. Umetoka masayansi yamekutoa nduki bado unataka urudi huko huko. Njoo ualimu kaka fanya yako ukifika level za juu unaingilia dirisha dogo
 
pole mkuu...wakina busagara wamekula kichwa
 
Pole sana ndugu yangu jamaa ameanza tena mtindo wa kupeana 0 za quiz, me mwenyewe quiz 3 zote na zero. Nakushauri omba na afya, ukipata zote nenda ualim pako vizuri
 
Pole sana ndugu yangu jamaa ameanza tena mtindo wa kupeana 0 za quiz, me mwenyewe quiz 3 zote na zero. Nakushauri omba na afya, ukipata zote nenda ualim pako vizuri
asante kaka.ntafanya ivo.kikubwa komaeni nnae #hainakufeli2016
 
si apply chuo kingine cha degree...kwanini unajishusha kwenye diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…