Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,995
Hellow wakuu, pole na shughuli.
Nimehangaika sana kupata namba ya NIDA, Leo nikiwa nampigia mtu, Airtel wananiambia kuwa nimetumiwa namba yangu ya NIDA niende nikamilishe usajili.
Kiukweli sms hiyo sijaiona, na sidhani kama imeingia.
Je, wakuu nawezaje pata namba yangu maana nikiwapigia Airtel hai-respond, au nawezaje pata sms niliyoifuta?
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app