Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

Nashukuru wadau kwa kunitajia app na website za kudownload movies lakini nyingi movies hazipo kwenye HD kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload HD movies maana nataka nifungie movie store na hapa kazi wifi ya bure
 
Nimekwambia tumia torrents husikii.
 
Nimeshatumia torrent zaidi ya 3 lakini zote sijafanikiwa kupakua movie hata moja mara nyingi nilikua natumia popcorntime nayo kwa sasa haifanyi kazi
Nilikuwekea hadi link hapo juu uingie kwenye thread ya "Must see movies" huko ndio ukaulize kuhusu mambo ya torrent, coz watu wanatumia sana
Ukibaki kwenye hii thread unaweza usipate solution
Ingia hapa ukaulize
 
Nimeshatumia torrent zaidi ya 3 lakini zote sijafanikiwa kupakua movie hata moja mara nyingi nilikua natumia popcorntime nayo kwa sasa haifanyi kazi
Tafuta hii app inaitwa torseach sijui kama iko playstore, then download tTorrent from playstore, hiyo app uki search torrent yoyote italeta, na una angalia ipi ina seeders wengi kuliko leechers, mfano apo nimesearch hiyo movie ni ya mwezi wa nne lakini imeleta from different sites za torrents, ukishindwa hapo lipia Netflix kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_2023-05-01-19-33-36-136_com.torrentsearch.magnetsearch.jpg
    Screenshot_2023-05-01-19-33-36-136_com.torrentsearch.magnetsearch.jpg
    76.6 KB · Views: 67
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Download app inaitwa on "Onstream" ipo ya android na pia kuna unayoweza tumia kwenye PC
 
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Download internet downliad manager kisha tembelea hdtoday.tv
 
Back
Top Bottom