Msaada: Vodacom na jaribio lao la kutaka kunitapeli

Kiufupi sekta nzima ya mawasiliano imejaa majizi na matapeli y kutupwa. Hakuna huduma ambayo hatuibiwi.
Mimi niliwahi kununua kifurushi cha mwezi cha BILA KIKOMO kwa hao hao voda Tsh elfu 25. Nimetumia siku 4 naambiwa nimefikia KIKOMO cha MB 5000.
Aina hiyo ya wizi ndo haya makampuni ya simu wamekuwa wakitufanyia mchana kweupe kabisa
 
Nenda kwa meneja wa vodacom shop iliyokaribu umwambie shida yako na hatua ulizopitia na azma yako ya kutaka kufikisha swala hilo tcra, ni vizuri ukapeleka barua ya malalamiko ili kuweka kumbukumbuku, mtake akupe mda atakaotumia kushugghulikia swala lako na iwapo mda utapita bila majibu umwandikie kulalamika swala lako kutoshugulikiwa pia uwape tcra nakala ya barua ya malalamiko yako, wakati huo ndo uombe maelezo tcra kujua jinsi watakavyokusaidia
Mkuu ngoja nitajaribu hiyo njia although ni njia ambayo itanigharimu coz nipo mbali kidogo na sehemu ambayo kuna vodashop
 
Nenda kwa meneja wa vodacom shop iliyokaribu umwambie shida yako na hatua ulizopitia na azma yako ya kutaka kufikisha swala hilo tcra, ni vizuri ukapeleka barua ya malalamiko ili kuweka kumbukumbuku, mtake akupe mda atakaotumia kushugghulikia swala lako na iwapo mda utapita bila majibu umwandikie kulalamika swala lako kutoshugulikiwa pia uwape tcra nakala ya barua ya malalamiko yako, wakati huo ndo uombe maelezo tcra kujua jinsi watakavyokusaidia
Gharama za kufanya hayo watamlipa?
 
Back
Top Bottom