bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Habarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh. 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni 6,000,000 kwa riba ya 12% ilitakiwa kuwa jumla 6,720,000 cha ajabu pale kwenye jedwali kuna 6,341,251 kiasi kingine kimeenda wapi?