MSAADA: Tatizo la Halotel Mobile Wife mFi_0428F2

masikini mnyenyekevu

Senior Member
Sep 17, 2024
118
133
Habari wana jukwaa.
Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo.
Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim.
Wakati mwingine ukiiwasha inaandika sim busy halafu inaconnect na baada ya sekunde 30 inaandika insert sim.
Pia mara nyingine ukiwasha inaandika sim busy, halafu inaleta sim lock au limited service.
Huku nilipo ni porini sana,mafundi hamna na mimi kwenda mjini wanapopatikana mafundi ni mpaka mwezi wa nne.

Naombeni msaada wa kutatua hii changamoto.
Akhsanteni sana.
Cc: Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
 
Jaribu kufanya reset. Kama unachomoa chomoa SIM card mika miwili unaweza ukawa umevunja kitu.
 
Back
Top Bottom