Msaada: Tatizo la browsers kutofanya kazi kwenye laptop

Mbona kitu kinaonekana kidogo sana wap tatizo isee

Ooh okay, nashkuru kama kwako ni tatizo dogo natumai utaweza kufanikisha mkuu.

Tatizo browser hazifungui website yoyote zinasema Problem Loading Page | Unable to connect hilo ndio tatizo lililopo ndugu yangu. Help me.
 
restore inafanyika kama alisha wai kufanya backup kama ajawai kufanya backup ata restore aje sasa
Unajua maana ya restore kwenye pc ???
 
Inaonekena kuna software ilitokakwenye adsense za google na kuleta shida kwenye pc yako kwaiyo ukilistore italudisha mfumo vizur kama awali
 
Inaonekena kuna software ilitokakwenye adsense za google na kuleta shida kwenye pc yako kwaiyo ukilistore italudisha mfumo vizur kama awali

Nimesha-click next then natakiwa ku-scan for affected programs then next, right...?.
 
Nimefanya ivyo kwasababu sina shaka na wewe kuwa utashindwa kujua naimnish nini

Nimesha-scan for affected programs and drivers na Description imeandika None detected kiongozi.

Nime-click next kuna msg hapa inasema Confirm Your Restore Point. Then chini kuna Finish.
 
Back
Top Bottom