MUCOS
Member
- Jun 24, 2024
- 96
- 350
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini.
Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu ya masula mawili hapa jijini.
a. Ni wapi kuna tution centres za kutosha hapa jijini hasa kwa kipindi hiki cha likizo mwezi December? (Kwa A'level na O'level).
b. Wapi nitapata stationary nzuri yenye uwezo wa kuchapisha vitabu/vijitabu/ kwa gharama nafuu kabisa?
Asateni wakuu?