Msaada safari ya kwenda Sumbawanga

Nakushauri nenda Dar then upande basi la Majinjah hili linafika moja kwa moja Sumbawanga,anaekushauri upitie Mpanda Katavi akutakii mema kwa hali hii ya mvua na bara bara ya Mpanda-Sumbawanga.
Mara yako ya mwisho kupita hiyo ilikuwa lini?
 
Panda gar arusha tu mbeya! Ila basi inalala makambako bt kwa upande wangu mara nying mabasi ya hood huwa wanawasiliana na madereva wa costa pale makambako ambapo huwasubir wakishafika costa huanza na safar kuelekea mbeya usiku ule ule haihitaji kulala makambako
Logic ya kuwafaulisha ni nini mkuu?
 
mkuu mleta mada weka tatizo hewani usaidiwe pengine hutapoteza muda na pesa kwenda sumbawanga na ukatekeleza mwenyewe tu
 
karibu sana,panda kili-mbeya.ukifika mbeya mabasi hadi saa 12 yapo.nauli komaa 12,000.nina jamaa zangu wanakuja wanapoondoka hawaagi.najua wanachofuata huku
 
Watu wakisikia Sumbawanga moja kwa moja wanahusisha na mambo ya ndumba!,..kuna jamaa ameenda kuanzisha maisha huko kwa kujishughulisha na kilimo na biashara ya mbao,amepiga hatua kubwa sana kimaisha..Maisha ya hapa Dsm miyeyusho tu,fursa zipo mikoani kama ukiwa na mtaji wa kuanzia.
Niunganishe nae bro
 
Wachache sana watakuelewa hapa!
 
Karibu sana Swanga, unakuja kwa ajili ya ile kitu maarufu ya huku? Karibu upande bus toka hapo Arusha ulale Mbeya. Asbh ya siku inayofuata panda Ndenjela wahi sa5-6 uko hapa Jangwani stand. Mm ni mwenyeji sana tu hiyo barabara yote toka Tunduma, Mkutano, Mpui, mpaka unafika Swanga.

Niko hapa Kizwitte
Mbona hatuonani hapa havana??au wewe hugongi masanga??mi nipo john kella apa
 
Back
Top Bottom