Mbona braza mm nmebadilika nikiwa dsm lazima niwe na bebez tofauti Ila nikirud mkoani kwetu huwa Sina time na wanawake natulia kabsaKama siyo chai:
Kosa la kwanza ulioa malaya ukifikiria atabadilika. Mtu mzima - awe mwanaume ama mwanamke - ni vigumu sana kubadili tabia. Ni kama vile haiwezekani.
Kosa la pili ni kumchunguza malaya wakati unajua kabisa utakachokutana nacho wakati hauwezi kuishi bila yeye.
Kosa la tatu ni kutongozwa na mwanamke na ukamkubalia. Hiyo ni red flag. Mwanamke anapata guts za kukutongoza huyo ni gumegume. Mkimbie.
Kosa la nne na kubwa zaidi ni kuwa mwema kwa mwanamke. Kwa nature; mwanamke anapenda zaidi sehemu anayonyanyaswa. Ukiwa gentleman anakuona mwanamke mwenzie.
Suluhisho: muache mara moja. Inaweza kuwa vigumu lakini baada ya muda utakuwa sawa. There's no wound that mother time cannot heal.
Man up.