Se Busca
Member
- Dec 11, 2023
- 55
- 161
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea sana mwanamke wangu amekuwa alikuwa malaya ila akaahidi kuwa atatulia na kuwa mwanamke bora atakaelea familia, swala la kitanda ni alhamdulillah namridhisha nina uhakika na hilo,
Kinacho niumiza ni kwamba bado ana zile elements za umalaya kugawa namba kwa wanaume kwako ni kawaida mwanamke wangu yeye hatumii whatsap muda mrefu sana, jana nikadownload whatsap kwenye simu yangu kisha nikaweka namba yake leo asubuhi akanitext jamaa kupitia namba yake ambayo ipo whatsap,
Kuwa leo hii asubuhi mwanamke wangu kamuomba vocha aweke bando na jamaa akaomba atumiwe picha atakapomtumia bando, hizo chini ni baadhi ya chats zake walizokuwa wanachat na mwanamke wangu na huyu jamaa wamejuana na mwanamke wangu hivi karibuni tu, sikuwahi kumpenda huyu mwanamke ila yeye ndo alihitaji kuwa na mimi kwenye mahusiano nilimuonea huruma baada ya kupambana kwa miezi kadhaa kisha mimi nikakubali kuwa nae huku akiniahidi kuwa atatulia kabisa endapo akiwa na mimi,
Na mimi nikakubali kuwa nae, na nikafanikiwa kuchunguza social media zake zote kwanzia instagram na snapchat, nimekuja kwenu wakuu muweze kunishauri natokaje hapa kwenye kifungo sometimes nahisi kama nimechezewa akili (nimerogwa) mimi sijawahi kumfanyia baya lolote toka niwe nae alhamdulillah mimi ni mwanaume muaminifu sana lakini sasa hii imekuwa too much,
Nisaidieni ni mambo gani naweza kuyafanya ili niweze kumuacha bila ya kumfikiria huyu mwanamke, nilikuwa simpendi ila tulivyokuwa tunaishi ndo nikatokea kumpenda na mimi, huyu ndo mwanamke wangu wa kwanza kuishi nae, Nitumie njia gani niweze kuishi bila ya kumuwaza hapa ninapo zungumza nipo nae pembeni yangu msaada wakubwa zangu.