Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 18,522
- 45,216
Au nilijikopesha eeh😀Ulijiibia aunt🤣🤣
Au nilijikopesha eeh😀Ulijiibia aunt🤣🤣
Ndio hivyo wanawake nyie mna mbinu nyingi.😂😂😂😂Kha
daah jambazi hilooSwali zuri, umenikumbusha juzi Kuna dada kaibiwa aifoni kwenye daladala konda na dereva wakaamuru gari iende polisi ikiwa na abiria, kufika kule wote tukasachiwa wanawake kivyao na wanaume kivyao. Sasa wakat msako unaendelea kwa upande wa wanawake ghafra tukasikia kilio mama analia eti kapigiwa simu mwanaye wa kike kabakwa , askari akamwambia sawa issue ya kubakwa tutaijadili baadae emu njoo tukusachi walivyomsachi wakamkuta na simu iliyoibiwa 😄😄😄
Hakuna cha chuma ulete au chuma upeleke.Ukijibu maswali yangu nitakuambia ni nini kimetokea.Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Dah aliuza ramani za watu Kwa tamaa zakeNdio hivyo wanawake nyie mna mbinu nyingi.
Katika kusachi Kuna mwamba akakutwa na visu kwenye begi afande anamuuliza ;wewe mbona una visu kwenye begi? Jamaa linajibu; hivyo vya kazini, afande anamuuliza tena unafanya kazi Gani ? Jamaa: Nachinja ngombe
Kuna mmoja akakutwa na misokoto ya bangi kwenye begi akahifadhiwa kituoni ( nahisi kimoyo kamtukana matusi ya nguoni konda, dereva na mwizi wa simu kwa kusababisha gari kupelekwa kituoni)
1. Naishi mwenyeweHakuna cha chuma ulete au chuma upeleke.Ukijibu maswali yangu nitakuambia ni nini kimetokea.
1.Unaishi mwenyewe ghetto?
2.Kuna ndugu,rafiki ama jirani amezoea ghetto lako.
3.Je ni mtu ya michepuko a.k.a mpango wa kando au ni hit &run member na je kimazingira ya ghetto,?
Nakushukuru .Wewe sema tu naomba kuchangiwa kodi acha kutuset
😄😄😄😄 Si atataka pesa.Nenda kwa mganga
Shukrani mkuu nitafanya hivyoPole sana ongea na mwenye nyumba akupe muda ujitafute
Kujilisha ni shida nawezaje nikawa na marioo but asantehakuna cha chuma chukua wala chuma leta, dili na huyo mario uliye naye!
Nyumba ina ceiling au juu iko wazi,je hakuna mtu aliyechangia ufunguo wako?1. Naishi mwenyewe
2. Hakuna yeyote ambaye anazingia ndani kwangu ni mimi na vitu vyangu.
3. Sina hiyo kawaida ya kuingiza mtu ndani kwangu, mazingira ya kawaida yan kitanda na vitu vingine vya ndani na Sina makoro Koro ni chumba cheupe sana coz ndo kwanza naanza maisha.
SioSijui kwanini mnapenda hivyo vibox, kuna njia nyingi na salama za kutunza hela mfano mitandao ya simu hasa Vodacom, benki au basi iweke hata kwenye begi la nguo kuliko hivyo vibox vya ajabu ajabu... amini kitu ulichobuni mwenyewe au kinachotumiwa na watu wengi kwa wakati mmoja, benki ni sehemu salama sana kwa utunzaji wa pesa
Kujitambulisha kama ni WA kike Kwan nimekosea kusema hivyio.?Kulikuwa na ulazima gani wa kusema "mimi ni dada"???
Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Hilo ni jambo la elimu ya uwekezaji,hata mtoto anaanza kufundishwa kunyonyaMnao weka pesa kwenye vibubu nyie ni moja ya watu mnaoyumbisha uchumi, haiwezekani mzunguko wa pesa upotee napesa umeichimbia ndani...