Msaada: Nikikutana kimwili na mtu ambaye hajatahiriwa siwezi kupata madhara?

Kuna ukweli upi hapa? Kumetokea mwanamke/msichana kugombewa na watu wawli tofaut moja kakatwa na mwingine hajakatwa,ila pale panapotokea msichana/mwanamke kuwagombea hao wawili nasikia huwa asiyekatwa ana-win na kuchukuwa cargo. Wajuzi waje hapa. Je kuna ukweli huo? Japo mie nilishaona jamaa wawili wanamgombea demu wanakula wote,ila pale iliposanda yule aliyekatwa akamwambia yule dwnu mwache huyo asiyekatwa uje kwangu ajabu yule demu baada ya kutambua jamaa wamegunduana,yeye alichofanya ni kuamua kukaa upande wa asiyekatwa. Swali; Yule demu kwanini alikaa upande wa asiyekatwa wakat hata uwezo wa fedha/mali hana?
hahaa..nikijuwa mpinzani wangu hajakatwa namwachia kabisa huyo demu..
 
Back
Top Bottom