Msaada: Nataka kudukua mawasiliano ya mke wangu

Mkuu chakii nakushauri wacha kabisa tena kwa haraka kufuatilia mke wako wa ndoa hakika utakayoyakuta huko hayatakuwa mazuri kwako na kwa ndoa yenu hata kidogoo...Kama umepata tetezi mweleze wife black n white kuwa nimepata tetesi 1,2,3 na mwambie kama ni kweli aache mchezo huo mara moja....Wake zetu niwakujengewa uwezo wa kujicontrol wao wenyewe especially kama wife ni mrembo atasumbuliwa tu sasa we utakuwa nae kila maala cha msingi muonyeshe unamwamini na hautegemei kuja kugundua otherwise....Kama hutaki huu ushauri wacha ila na mfano hai wa jamaa ameishia magereza kwa mambo haya haya yakulinda mashimo yasiyo jaa toka enzi na enzi...
 
Najua uyo ni mke wako awez kukunnyima simu yake japo dakka tano ukishachukua ingia browser kama kawaida andika mobile tracker itakuja shuka chini kidogo alafu click io mmobile tracker ila b4 akikisha umeenda kweny seting ili uruusu aplication from other resources iwe on alafu ndo uendelee kisha ukishaidowlod utainstall sasa pale unapoinstall watakuletea uingize email yako ww ambapo ivo unavotaka kuvipata vitumwe kwenye io email alafu ukisharegster itafunguka kuna vtu ua inajiweka on yenyewe ila kuna vingine inabid uweke on kama vile audio record na sehem ya picha ukishaweka on bas we finish subiri matokeo kama ni mchepukaji mzuri siku io io unamrudisha kwao kwa utachokiona
Du! We mkali! Naomba uni PM lkn usiende spidi hivyo unipe hatua kwa hatua
 
Habari wanaBodi,

Kama nilivyotangulia kusema.

Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.

Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.

Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.

Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.

Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.

Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.

Natanguliza shukrani wakuu.
hapa kuna option kadhaa za kukupa,

ya kwanz
a siku uliyorudi kutoka hiyo mizunguko yako ya nje chukua simu yake uangalie namba alizopiga na kupigiwa, halafu hizo namba zichunguze,
ya pili zuga kama umeenda safari ila uwe upo karibu kwa ajili ya kumnasa, weka na raia wa kukusaidia
 
Ni kweli umeshindwa kuongea naye? Hadi ufikie uamuzi huo? Au na wewe umemchoka?
 
Mkuu chakii nakushauri wacha kabisa tena kwa haraka kufuatilia mke wako wa ndoa hakika utakayoyakuta huko hayatakuwa mazuri kwako na kwa ndoa yenu hata kidogoo...Kama umepata tetezi mweleze wife black n white kuwa nimepata tetesi 1,2,3 na mwambie kama ni kweli aache mchezo huo mara moja....Wake zetu niwakujengewa uwezo wa kujicontrol wao wenyewe especially kama wife ni mrembo atasumbuliwa tu sasa we utakuwa nae kila maala cha msingi muonyeshe unamwamini na hautegemei kuja kugundua otherwise....Kama hutaki huu ushauri wacha ila na mfano hai wa jamaa ameishia magereza kwa mambo haya haya yakulinda mashimo yasiyo jaa toka enzi na enzi...
Hahahaha yan we braza hukoseagi ku comment napenda comment zako zinankosha balaaaa.......

Mkuu chakii nakushauri wacha kabisa tena kwa haraka kufuatilia mke wako wa ndoa hakika utakayoyakuta huko hayatakuwa mazuri kwako na kwa ndoa yenu hata kidogoo...Kama umepata tetezi mweleze wife black n white kuwa nimepata tetesi 1,2,3 na mwambie kama ni kweli aache mchezo huo mara moja....Wake zetu niwakujengewa uwezo wa kujicontrol wao wenyewe especially kama wife ni mrembo atasumbuliwa tu sasa we utakuwa nae kila maala cha msingi muonyeshe unamwamini na hautegemei kuja kugundua otherwise....Kama hutaki huu ushauri wacha ila na mfano hai wa jamaa ameishia magereza kwa mambo haya haya yakulinda mashimo yasiyo jaa toka enzi na enzi...
 
teknolojia inautesa ulimwengu.watu wanaishi kwa mashaka sana.wanawake ndo wamekuwa nyoko kabisa.mapenzi hayapo tena.pesa ndo hitaji la kwanza kwa kila mtu.daah mungu tuhurumie waja wako
 
Mkuu hujakomaa bado...nina mashaka kubwa na hadhi yako ya ndoa. huyo dada ni wazi amekuzidi akili....jambo hili si la kuja omba msaada mtandaoni.
 
Najua uyo ni mke wako awez kukunnyima simu yake japo dakka tano ukishachukua ingia browser kama kawaida andika mobile tracker itakuja shuka chini kidogo alafu click io mmobile tracker ila b4 akikisha umeenda kweny seting ili uruusu aplication from other resources iwe on alafu ndo uendelee kisha ukishaidowlod utainstall sasa pale unapoinstall watakuletea uingize email yako ww ambapo ivo unavotaka kuvipata vitumwe kwenye io email alafu ukisharegster itafunguka kuna vtu ua inajiweka on yenyewe ila kuna vingine inabid uweke on kama vile audio record na sehem ya picha ukishaweka on bas we finish subiri matokeo kama ni mchepukaji mzuri siku io io unamrudisha kwao kwa utachokiona
duh namuona mtu kakamatwa hivihivi, ila kama akiwa mtundu wa sim, atajua tu kuwa kunamtu ame ingiza kitu kwenye simu,
 
Siyo presha mkuu, inauma kama ni kweli

sasa ukijua kwamba ni kweli ndio itauma zaidi, bora saa hizi unajipa hope kwamba inawezekana si kweli. hebu jiulize ukidukua hiyo sim na siku ya siku unakuta wife anamsifu jamaa jinsi alivyomla vizuri ndogo utafanyeje.
 
duh namuona mtu kakamatwa hivihivi, ila kama akiwa mtundu wa sim, atajua tu kuwa kunamtu ame ingiza kitu kwenye simu,
Apna mkuu ii kitu kujua kwake ni lazima uwe na aidia ya kua kuna ishu ya namna hii vinginevo ua akuna ishara yoyote ile inayoweza kumshtua mtu kua kuna kitu cha tofauti mana aplication yenyewe aionekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom