Msaada: Nashindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu

Kama unapanua miguu unaharibu
 
Kuna watu wanajivunia kupiga punyeto,lakini matokeo yake ni mabaya sana.Katika kesi nyingi za udhaifu wa nguvu za kiume asilimia 90 ni wale waliofanya jambo hili kwa mida mrefu na hata sasa wanaendelea kufanya.Asilimia 10 tu ndiyo kuna visababishi vingine hususani magonjwa kwenye mfumo wa mwili.
Ninakushauri mambo yafuatayo;
1.Kama hujaacha,acha sasa zoezi hilo mara moja.Amua kuacha kabisa,hili liko chini yako.
2.Tafuta tiba maalumu ya kurudisha misuli yako iliyoharibiwa na zoezi hilo,unapofanya punyeto kwa muda mrefu misuli ya uume huathirika pakubwa na hivyo kupoteza uwezo wake wa awali wa kuhimili upokeaji wa damu katika mishipa yake na matokeo yake huwezi kumaliza mida mrefu kwa sababu uume umekuwa legelege( Joto kidogo tu tayari).
Kumbuka unahitaji kwanza tiba kwa sababu umeshaathirika ndipo utaendelea na hatua nyingine,huwezi kutibu malaria kwa kulala kwenye chandarua! Lazima kwanza utumie dawa na baadaye uendelee kujikinga.
 
Umepima hauna ugonjwa wowote unaoumwa? Kama hauna tatizo punguza kupania na ile hali ya wasi wasi kwamba sijui nitaweza ukishqjiukiza hivyo hutoweza wewe simama piga shoo, alafu uyo demu upo nae unampenda kweli?
 
Umepima hauna ugonjwa wowote unaoumwa? Kama hauna tatizo punguza kupania na ile hali ya wasi wasi kwamba sijui nitaweza ukishqjiukiza hivyo hutoweza wewe simama piga shoo, alafu uyo demu upo nae unampenda kweli?
Yah nampend
 
Saw
 
Asante bro
 


Anza na hapa utakaa vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…