Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

Weka kama link.

1. Bonyeza iyo alama ya "Link"
Screenshot_20250127-220513~2.png

2. Kwenye Link paste iyo link uliocopy YouTube
Screenshot_20250127-220537.png

3. Kwenye Text usiandikw kitu.

Itakua kama hivi:


View: https://youtu.be/YtwprTbrJe8?si=z22hSQjQNDyEGOKp
 

Attachments

  • Screenshot_20250127-220537.png
    Screenshot_20250127-220537.png
    278.3 KB · Views: 1
1. Nenda youtube kwenye video unayotaka kuweka humu JF
2. Kwenye ile video ukiplay kuna sehemu utaona imeandikwa "share" bonyeza hiyo share hapo hapo utaona sehemu imeandikwa copy...bonyeza copy
3. Njoo JF uipaste

Ole wako useme hujaelewa!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Elimu na mkwara juu..
 
Back
Top Bottom