Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

MoSantu

Senior Member
Feb 26, 2022
173
167
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.

Natanguliza shukran🙏
 
Andaa nyaraka zako Zote zinazohusu uraia wako, sababu ya kuhitaji passport, taarifa za huyo mwenyeji wako huko uendako, kama ni biashara, muariko, shule nk,,, harafu Andaa kibunda maana kwa taratibu kabisaaaa mpaka kupata passport kwa mwez mmoja, 150000,,ila Kuna express 1,000,000 hiyo ndani ya siku moja mpk siku saba! Lkn utapata passport baada ya mamlaka kujiridhisha kama unastahili kupata, kwakuwa lazima wafanye nyatu nyatu. Kala la kheri mkuu huko ughaibun
 
Mkuu kutoka 150k mpk 1M atleast ungesema posho nitoe 200k ningeelewa
 
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.

Natanguliza shukrani
Upo mkoa gani?
 
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.

Natanguliza shukran🙏
fanya maombi online jaza soft copy documents zote kupitia uhamiaji portal lipia elf 20 kisha nenda ofisi ya uhamiaji kwa ajili ya finger print na kulipia laki na nusu
 
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.

Natanguliza shukran🙏
Nenda ukawaone Uhamiaji, wao watakusaidia kutatua tatizo lako hili.
Passport hazipatikani huku mtandaoni kwenye mtandao huu wa JF.
 
Andaa nyaraka zako Zote zinazohusu uraia wako, sababu ya kuhitaji passport, taarifa za huyo mwenyeji wako huko uendako, kama ni biashara, muariko, shule nk,,, harafu Andaa kibunda maana kwa taratibu kabisaaaa mpaka kupata passport kwa mwez mmoja, 150000,,ila Kuna express 1,000,000 hiyo ndani ya siku moja mpk siku saba! Lkn utapata passport baada ya mamlaka kujiridhisha kama unastahili kupata, kwakuwa lazima wafanye nyatu nyatu. Kala la kheri mkuu huko ughaibun
Kwa ninavojua na experience nliyona mwezi mmoja hauishi huwa ni siku14 tu ukifanya taratibu zote tena online unaenda tu wilayani wanakupitishia, mwisho mkoani kwa 150000, ila express mmhh
 
Sasa kwa Zimbabwe si hata hutafuti visa ni passport tu ndani ya siku 14, ila unaanzia mwenyewe online unapata ile form unajaza watakuomba viambatisho utaeka, utaenda uhamiaji wilaya atakupitishia tena km hana shaka na uraia wako kama jamaa wa mipakani labda umpe ten ya shukrani then uende mkoani napo hapana mzunguko ni vimaswali kidogo tu, anapitisha anakupa control number unalipia unangojea siku 14 tu
 
Back
Top Bottom