mkandaboy
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 257
- 89
Poleni kwa majukumu wana JF wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, BF Goodrich, Dunlop, Grandtrek, Michelin na Goodride.
Uwezo wangu ni kulipia sh 200,000/= (laki mbili tu kwa kila tairi) na size ya matairi ninayohitaji ni 215/60 R16.
Ninatanguliza shukrani zangu.