Msaada: Nahitaji Matairi mapya ya gari

mkandaboy

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
257
89
Poleni kwa majukumu wana JF wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, BF Goodrich, Dunlop, Grandtrek, Michelin na Goodride.
Uwezo wangu ni kulipia sh 200,000/= (laki mbili tu kwa kila tairi) na size ya matairi ninayohitaji ni 215/60 R16.
Ninatanguliza shukrani zangu.
 
what about good ride? tokea mnazi mmoja wanapouza vifaa vya magari, ingia mtaa mmoja ndani(sorry siukumbuki jina), kuna maduka kama manne hivi ya jumla,wanauza matairi bei nzuri sana.
 
Mkuu hukusoma au umesoma nusu ya post yake. Goodride ni miongoni mwa brand ambazo hazihitaji.
what about good ride? tokea mnazi mmoja wanapouza vifaa vya magari, ingia mtaa mmoja ndani(sorry siukumbuki jina), kuna maduka kama manne hivi ya jumla,wanauza matairi bei nzuri sana.
 
what about good ride? tokea mnazi mmoja wanapouza vifaa vya magari, ingia mtaa mmoja ndani(sorry siukumbuki jina), kuna maduka kama manne hivi ya jumla,wanauza matairi bei nzuri sana.

..Asante royna, but good ride sio choice yangu kama nilivyoainisha hapo kwenye uzi wangu.
 
linglong nayo mazuri au GT na bei yake iko poa kabisa
 
Napend kumunga mkono Richard hapo juu matairi kweny gari ni uhai wko! Tc gud ujikaze upate BF Goodrich hayo matairi ni imara sana kw maoni yngu
 
Ushauri:
Kwenye gari tairi hupewa umuhimu wa juu sana, ndio uhai wako.
Nakushauri ununue moja wapo kati ya hizo brand ulizo exclude.
Vinginevyo you will be risking your life!

Ushauri mzuri mkuu. Tairi ni muhimu mno katika gari. Vinginevyo awe ni mtu wa kuzunguka tu jijini DAR tena kwa spindi ndogo. Natumia Dunlop made in Japan ni matairi mazuri sana.
 
poleni kwa majukumu wana jf wenzangu.
Naomba mnijulishe aina nzuri ya matairi ya gari na mahali ninapoweza kuyapata lakini yasiwe mojawapo ya brands zifuatazo: Bridgestone, bf goodrich, dunlop, grandtrek, michelin na goodride.
Uwezo wangu ni kulipia sh 200,000/= (laki mbili tu kwa kila tairi) na size ya matairi ninayohitaji ni 215/60 r16.
Ninatanguliza shukrani zangu.

kama unafahamu hizo brand zote, si bora pia ungetaja brand unayotaka? Ila nina wasiwasi na price unayooffer. Inaelekea unataka brand babkubwa kwa bei che
 
Kuna duka linaitwa dallas kkoo huu mtaa karibu na fire nilichukua pale juzi

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Pita mtaa wa Livingstone kuna maduka mengi ya matairi, ni vizuri kufanya utafiti japo kidogo ili kupata bei nzuri.
 
kama unafahamu hizo brand zote, si bora pia ungetaja brand unayotaka? Ila nina wasiwasi na price unayooffer. Inaelekea unataka brand babkubwa kwa bei che

...Yaani hizo ni brands chache sana among many in the market. Najua kutakuwa na brands nyingine ambazo sizifahamu na ndo maana nahitaji msaada wa wadau hapa jamvini. Ahsante
 
kama utaweza tafuta tairi inayoitwa "WANLI" ni ya kichina ila ubora wake sijapata kuona. ipo powa sana kwa kweli na inavumilia sana barabara za kwetu tofauti na nyingi nilizotumia ambazo sometimes zinavimba. tatizo ni majina ya mitaa ndio sijui ila ukitokea muhimbili ukavuka taa za pale fire kama unakuja kkoo kuna mtaa wanauza rim za magari nyiiiingiii. we uliza maduka ya mtaa huo utapata. all the best mkuu ukinikuta barabarani unipe lift
 
...Yaani hizo ni brands chache sana among many in the market. Najua kutakuwa na brands nyingine ambazo sizifahamu na ndo maana nahitaji msaada wa wadau hapa jamvini. Ahsante

Mie nilinunua Good Year toka Mlimani City. Bei zao ni reasonable, nilichukuza za size 195/70R15 kwa 120,000/-. Ni nzuri, nimepiga nazo mkoa several times. Bora ukanunua matairi mazuri has kama una safari za mbali ambazo zitakuhitaji kwenda above 120 Kph, zitakuepusha na matatizo.
 
bf ndo tairi
rav 4 yangu nilifunga 4 years ago
tairi moja 4.75 laki
nunua nne upate moja bure
 
Back
Top Bottom