xixi
Senior Member
- Feb 26, 2024
- 183
- 348
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf:
1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
2. Namna ya kutengeneza faida
3. Changamoto/ushauri na mambo yote ya jumla yanayohusiana na mama lishe.
Msaada tafadhali