Msaada: Mpenzi hana siri

Duh achana nae kama hupendi mambo anayofanya
 
Sasa cha kufanya ni kukaa na kuongea nae kwa kina juu ya mustakabali wa maisha yenu ya kifamilia..Jaribu kila uwezavyo kumsihi asiwe mropokaji mropokaji...haifai..Msihi sana atunze siri...Sio kila kitu cha kusemasema ovyo
Sawa mkuu.....
 
Yaani mwanaume kukaa na marafiki unaanza kutoa siri zako na demu wako au kupiga story za marafiki zako ni Udhaifu Mkubwa mno.
Sipendi marafiki kama huyo wako.
 
Pole, hiyo ni tabia na tabia ni kama ngozi.

Na usikute ameshawaambia rafikize jinsi ulivyo, unavyompa mambo, Kandahar yako ilivyo. Wanaume wa hivyo wapo sana, aweza kumtangaza gf wake kama malaya tu.
 
Pole, hiyo ni tabia na tabia ni kama ngozi.

Na usikute ameshawaambia rafikize jinsi ulivyo, unavyompa mambo, Kandahar yako ilivyo. Wanaume wa hivyo wapo sana, aweza kumtangaza gf wake kama malaya tu.
hahahahha
 
Yaani mwanaume kukaa na marafiki unaanza kutoa siri zako na demu wako au kupiga story za marafiki zako ni Udhaifu Mkubwa mno.
Sipendi marafiki kama huyo wako.
ni tabia mbaya sana
 
mbona wewe ni kama yeye tu???

Badala ya kukaa nae chini umwambie kua hupendi tabia yake, wewe umekuja kumuanika huku.

Really!!!!.
 
Wengne ni kupenda sifa cyo kukosa usiri Yapo ambayo akifanya hasemi... Ila kutangaza hvyo ni acfiwe aonekane mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…