Duniatunapita man
Senior Member
- May 5, 2024
- 143
- 214
Upo makini ,. Huenda anatoa TU story iwe funzo Kwa wengineHii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...www.jamiiforums.com
Vipi huyu mke wako mwingine ulimuacha