chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
sawakumbe kulewa siku hizi mpaka miezi mi3 kwa bia 5 tu?
bibie hebu kuwa serious na familia za wabebez wenzio, lol
sawakumbe kulewa siku hizi mpaka miezi mi3 kwa bia 5 tu?
bibie hebu kuwa serious na familia za wabebez wenzio, lol
acha kuomba mzigo kimazingaombwe wewe, teh teh.. nimekustukia..U nailed it!
Ungekuwa Arusha ningekupa ofa leo.. wanataniana kwenye thread ya kutetea mtoto wa kike.
nadhani ameelewaU nailed it!
Ungekuwa Arusha ningekupa ofa leo.. wanataniana kwenye thread ya kutetea mtoto wa kike.
Hahaa mkuu nitake radhi mi nmezeeka had mainiacha kuomba mzigo kimazingaombwe wewe, teh teh.. nimekustukia..
ushauri upo page 1 and 2... mengineyo kama hajaelewa asubiri pingu na deso
maini gani hayo mzee yanapaparika kwa chuganian?Hahaa mkuu nitake radhi mi nmezeeka had maini
HahahahahhhhhahahahahaNi nani anayetakiwa kuomba msaada?
Ha ha hahaa haya mkuu, sikuwezi...uzee ni hazina hadi hapa mjinimaini gani hayo mzee yanapaparika kwa @chaganian?
dah.. uzee mwisho karatu
You made my nightMi nimefikiriaaa.. nimeshindwa kukushauri. Nisiwe mwongo.