Msaada: Maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia

Mkuu sina mtu pale, mm niko mbeya
Anzia hapo hospital ya Mkoa/Rufaa, hope wanauwezo wa kukutibia. KUna ndugu yangu alikuwa anakaa Ghana, alitibiwa hapo Hospital ya mkoa/rufaa na amepona.
 
Wanabodi habari za asbh.
Kwa anae fahamu naomba ushauri au ufafanuzi wa nini kitakuwa kina nisumbua kulingana na maumivu ntakayo ya eleza hapa.
Huwa na patwa na maumivu makali upande wakulia mwa tumbo, maumivu haya huwa kama inavuta misuri kwa ndani kuelekea juu tumboni lakini kuna mda huwa yana shuka kwenye misuri ya corodan hii hutokea kila siku asbh kuazia saa kumi au kumi na moja mpaka mida ya saa moja hivi au saa mbili.
Nilienda kupiga ct scan ikaonekana hakuna tatizo.
nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Natanguliza shukurani
Itakuwa vema ukifanya ultrasound ya scrotum, pia kucheki FB kama una infection yoyote. Pale regency pia wana madoctor wazuri sana. Indians guys
 
Mkuu nashukuru, FB ndio sehemu gani hiyo?
 
Anzia hapo hospital ya Mkoa/Rufaa, hope wanauwezo wa kukutibia. KUna ndugu yangu alikuwa anakaa Ghana, alitibiwa hapo Hospital ya mkoa/rufaa na amepona.
Mkuu hivyo vyote nilipima mkoani
 
Itakuwa vema ukifanya ultrasound ya scrotum, pia kucheki FB kama una infection yoyote. Pale regency pia wana madoctor wazuri sana. Indians guys
Alikuwa anasumbuliwa na nn yeye?
 
Maumivu classic ya appendicitis na si appendix kama tulivyozoea huwa yanaanzia chini ya chembe, epigastric region then yanahamia right iliac fossa. Upande Wa kulia hapo tumboni.... Japo zipo dalili ambazo sio classic za hilo tatizo. Naomba kafanye full blood picture kisha lete majibu nitakushauri. Maumivu kama hayo kwangu si appendicitis.
 
Na mimi nadhani itakuwa appendix dalili kama zako zilinipata nilikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo but in the last minute nilipata maumivu kama yako upande wa chini tumboni. Vipimo vya hospital havikuonyesha dalili za appendix lakini walinifanyia upasuaji kwa kuguess ni utumbo una shida but ikakutwa appendix inayokaribia kupasuka. Nashukuru Mungu nimepona now nauguza kidonda cha mshono
 
Nilipiga full blood count march hakukuwa na tatizo mkuu.
 
Na mimi nadhani itakuwa appendix dalili kama zako zilinipata nilikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo but in the last minute nilipata maumivu kama yako upande wa chini tumboni. Vipimo vya hospital havikuonyesha dalili za appendix lakini walinifanyia upasuaji kwa kuguess ni utumbo una shida but ikakutwa appendix inayokaribia kupasuka. Nashukuru Mungu nimepona now nauguza kidonda cha mshono
Pole sana mkuu
 
Sikieni wazee

Kuna kitu kinaitwa uzoefu wa kazi

Kwa uzoefu wangu mm
Appendix huwa tunafanya diagnosis clinically
Zipo test za kufanya
Psoas test
Macburney test
Rovngson test etc
.
Mwisho mgonjwa unamfanyia score ya avarado score for appendicity

Akipata zaidi ya 7
Hata kama abdominal utra sound haitaonyesha kitu
Huyu ni lazima afanyiwe operation

Note,,, maumivu tu ya tumbo upande wa kulia hayawezi kuhalalisha kuwa ni appendicity

Kuna dalili nyingine kama
Homa
Kutapika
Kichefu chefu
Kuongezeka white blood cell in FBC

etc
Thanks
Dr,zahir
Morogoro
 
Wanabodi habari za asubuhi.
Kwa anayefahamu naomba ushauri au ufafanuzi wa nini kitakuwa kinanisumbua kulingana na maumivu nitakayoyaeleza hapa.

Huwa napatwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo, maumivu haya huwa kama inavuta misuli kwa ndani kuelekea juu tumboni lakini kuna muda huwa yanashuka kwenye misuli ya korodan hii hutokea kila siku asubuhi kuazia saa kumi au kumi na moja mpaka mida ya saa moja hivi au saa mbili.

Nilienda kupiga ct scan ikaonekana hakuna tatizo.
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Natanguliza shukrani
nenda hospital kwa uchunguzi zaidi lisije likawa tatizo kuwa
 
Ndio mkuu huwa mishipa kama inavuta hivi.
mjomba tatizo lako ni kama langu..nlipga ultra sound nikaambiwa niko ok..ila kwa sasa kiuno...kinawaka moto kwa maumivu..na pia korodan mda mwingine zinavuta..
 
Na mimi nadhani itakuwa appendix dalili kama zako zilinipata nilikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo but in the last minute nilipata maumivu kama yako upande wa chini tumboni. Vipimo vya hospital havikuonyesha dalili za appendix lakini walinifanyia upasuaji kwa kuguess ni utumbo una shida but ikakutwa appendix inayokaribia kupasuka. Nashukuru Mungu nimepona now nauguza kidonda cha mshono
du pole sana..mi mwenyewe naumwa tatizo hilohilo..mpka maeneo yote ya kiuno..yanauma..na tumbo upande wa chini na kulia...
 
Back
Top Bottom