VX V8 Zinatumia D4 D engines
Jombaa fafanua, huo utamu wa mark x unauzidi utamu wa Asali?
Ningekuwa mimi Ningenunua Mark X kama uwezo wa kununua upo. Mark X ina ulaji mzuri wa mafuta kama ni mpya na inafanyiwa service vizuri. Uzuri wa Magari kuanzia Mwaka 2005 na kuendelea mengi yao hutumia Umeme sana kuliko Mafuta ulaji wa Mafuta wa Verosa cc1900 unalingana na Mark X ya cc2500. Wengi wetu tunasema gari flani linakula mafuta kwasababu wengi wetu tunaweka mafuta ya elfu 10 hadi kumi tano ukiendesha kidogo tu taa ishawaka hapo sasa unaanza da gari inakunywa mafuta hiyo..Verosa kiukweli Bodi yake sio kivile japo la mark x ni jepesi sana ila kimuonekano Mark X ndio gari kwanza ina comfortability, na ni nzuri kwenye lami ila offroad unaitesa na kuichosha tofauti na verosa inaweza kuhimili vishindo. Yangu ni hayo ngoja wengine waje waongezee na kurekebisha pale ambapo sipo sahihi
mkuu acha na wewe kukelemisha ? mzee unajua maana ya vvti? au utofauti wa d4 na vvti? je wajua kuna aina ngapi za technologia ya engine ya njia za kuspay mafuta ili yaweze kuunguzwa??D4 ndio injini ya mpya kwasasa na ndio injini inayowasumbua mafundi wengi hapa Tanzania kwasababu wamebaki na maarifa yale yale ya zamani waliyofundishwa ya VVTI
mark x as i knw ikiwa iko well maintained inaenda 11km per liter
mkuu acha na wewe kukelemisha ? mzee unajua maana ya vvti? au utofauti wa d4 na vvti? je wajua kuna aina ngapi za technologia ya engine ya njia za kuspay mafuta ili yaweze kuunguzwa??
najua unachanganya mambo hiyo d4 na vvti ni vitu vuwili tofauti ni bora hata ungesema kuwa wamebaki na ujuzi wa kutengeneza engine za carbureter.
je ukikutana na engine ambayo ina d4 na vvti utasemaje??
au nyie ndio huwa mnawadanganya watu kuwa nunua gari ya vvti usichukue gari yenye engine ya d4?? na je vipi ukikutana na gari kama markx or grand au brevis utamshauri vipi? maana zina d4 na vvti.
harafu usiwaonee mafundi kama unagari ya d4 acha kuweka mafuta ya kidebe mzee.sijui safisha plug badala ya kubadili,air clener baada ya kununua mpya eti wapuliza upepe,utasikiaa ooooo toa thermostert inafanya gari inakuwa inachemsha huko kwao wanaitumia shauri nchi zao kuna baridi sana .hapo lazima uichukie d4
mkuu hapa hudanganywi unaambiwa ukweli.kama ni suala la cc kuna markx ina engine yenye cc sawa na verosa sasa sijui hapo utasema ipi inakula mafuta? na kwa taarifa yako kama atachukua verosa yenye cc sawa na mark x litakija suala la technologia iliyotumika kwenye engine mark x ni bora zaidi ya verosa ww bisha kataa ,coz mark x inatumia engine yenye mfumo wa d4 ambayp inasifa za low fuel consumption,more power,good emmision.Tusidanganyane hapa,jamaa yangu yupo mwenge analitumia kwa wiki mara moja,nijini lile sio gari,nikweli kabisa km 6 kwa lita tena inaweza hata kupungua,alikuwa anatumia laki unusu kwa siku tano tu na hapo ni root ya mwenge to temeke,achakabisa hiyo gari razima uwe na urafiki na watu wa
Nakwambia gari kaaviza mwezi wa kwanza kutoka japani ni mpya kabisa,njoo pm ntakuelekeza nilipo tuitest ufashangaa mwenyewe,ni jini hilo ndugu,huoni watu wenye vituo vya mafuta wanavyo furahiya vinapo jaa mjini??hizo gari ni jipu
kwahiyo gari ikitoka japan ndio inakuwa siyo mbovu?? mm nakwambia tena kama gari inatumia lita 1 kwa kilometa 6 hiyoo ni mbovu mkuu ngoja waje wengine hasa wanao tumia mark x wachangieNakwambia gari kaaviza mwezi wa kwanza kutoka japani ni mpya kabisa,njoo pm ntakuelekeza nilipo tuitest ufashangaa mwenyewe,ni jini hilo ndugu,huoni watu wenye vituo vya mafuta wanavyo furahiya vinapo jaa mjini??hizo gari ni jipu
kwahiyo gari ikitoka japan ndio inakuwa siyo mbovu?? mm nakwambia tena kama gari inatumia lita 1 kwa kilometa 6 hiyoo ni mbovu mkuu ngoja waje wengine hasa wanao tumia mark x wachangie