Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

Wester union tatizo inachukua mda hadi wakupe hela zako, kwanza ujaze zile form zao halafu watakukalisha hapo hata lisaa unaweza kupoteza. Yaani wako so slow hao watu lakini worldremit hela zaingia direkt tigopesa au Mpesa.
Ndo mtueleze vizuri hapaaaa.
 
Inategemea na kiwango cha pesa na uharaka wa hizo pesa. Kwa kiwango cha chini ya 5M moneygram inafaa, hauhitaji kuwa na account, unatakiwa kuwa na kitambulisho kama passport, driving license au kile cha kupigia kura.
Oooooh kumbe?? Basis naomba nielekeze vizuri hapa.
 
Siku hizi tulioko mavumbini ndo tunawatumia fedha walioko mamtoni? Hivi vyuma anko Magu kavikaza mpaka kwa watasha.... Tawile baba!
babuuuh naomba unieleweshe kuhusu world remit, western union na money gram.
 
Nataka kufanya KAZI ya online, wanahitaji wanilipe kwa paypal au Debt card.
Kwa PayPal hawaruhusu kupokea Hela ila kutuma tu kwa Tanzania.
Nikijaribu kuingiza details za Debt VISA card yangu nayo wanasema haijaidhinishwa kupokea pesa kutoka nje. Je nifanyeje?
 
Back
Top Bottom