Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

My experience ya kuwire money it takes a couple of hours at most to be posted(ndani na nje ya nchi). Sijui wenzangu hizo siku 2-3 inakuwaje.
 
Habari Wadau!,

Hivi mtu mwenye Akaunti ya Benki Ya CRDB, anaweza kupokea pesa kutoka kwenye benki za nchi za ulaya moja kwa moja kwenye akaunti yake?.
 
Wanaofahamu watatoa taarifa zaidi. Japo western union naiaminia zaidi
 
Kama mimi wa bank ndogo kama Access napokea unashindwa vipi mtu wa CRDB?
kwa kifupi inawezekana nenda bank wakupe details including swift code utapokea pesa yako kupitia account yako
 
Inawezekana mkuu, cha kufanya ni kwenda bank wakupe swift code umtumie muhusika huko ulaya then hela yako itakufikia bila shida kabisa
 
habari jaman naomben msaada jinsi ya kupokea hela online kutoka usa nmejarbu visa card ya crdb nayo hawaelewek nmejaza form lkn wap
 
Tumia Western Union, au Money Gram.. Muambie akutumie Kwa njia hiyo.. Hakikisha una kitambulisho wakati wa kwenda kuzitoa
 
habari jaman naomben msaada jinsi ya kupokea hela online kutoka usa nmejarbu visa card ya crdb nayo hawaelewek nmejaza form lkn wap
jaribu kwenda pale posta office utumie huduma ya moneygram au uwaulize watakusaidia zaidi
 
Back
Top Bottom