Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,944
kafanye culture ujue ni bakteria gani. kuna wadudu kama styphylococci, acinetobacter na pseudomonas huwa hawasikii hizi dawa za kawaida. unaweza tibu hadi ukachoka. wanasikia dawa kama vancomycin, dicloxacillin, nafcillin na carbapenem.Mimi pia sikuwahi kuumwa u.t.I ikaanza mwaka Jana..
nmekunywa:
Cipro
Metro
Dox
Flu can
zile za kutumbukiza kwa papuchi aina zote
zile za rangi mbili
nmechoma cetriaxone mpaka mishipa imesimama...ya mkononi!
yani mwaka Jana nmeumwa zaidi ya mara5
mpka napotezea sometimes...
yani nmechoma sindano mpaka najichanganyia mwenyewe kasoro kujichoma!
Mimi nahisi hizi dawa haziondoi ugonjwa!
zinazidisha!!
na mpaka sasa Niko na dozi ...
ya (NITROFRULANTOIN & PIROXICAM)
jaribu hizo nasikia ni nzuri Sana.