shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Ili usipate taabu ya kutembea ukiwa unatoka tegeta panda gari mpaka Morroco kinondoni,ukifika hapo panda mwendokasi itakupeleka moja kwa moja mpaka Gerezani Kariakoo,ukiteremka humo utaziona gari za Mbagala na Temeke kupitia Kilwa road.Teremkia JKT.Ukiteremka tu kushoto kwako utakiona Chuo cha Diplomasia ndipo zilipo ofisi za Uhamiaji.