Msaada kiwanja Ku-Date

Mkuu mtoto hadi siku ya kukata ndege kuondoka nilijua na siti aliyokuwa amekaa naijua. Kiufupi amekaa mamtoni miaka minne sasa.

Kwenye hiyo siti alikweleza jirani yake nani.......?.....sasa kukutaarifu tu.....huyo jamaa walivyofika 'alimla'....bilivu mi......
 
Wakuu hakuna anaejua kiwanja standard? Ama ninyi ni kwenye magheto tu, Loh, ngoja nijaribu kutafuta kwa njia nyingine
 
Kwenye hiyo siti alikweleza jirani yake nani.......?.....sasa kukutaarifu tu.....huyo jamaa walivyofika 'alimla'....bilivu mi......
Hata kama alimla miaka minne sio issue ashapona kilo kovu.
Aisee mi hapa hadi maini yanatetemeka maana nilimmisi sana, na sikuamini kama anarudi hadi sasa alipo nitumia ticket yake ya kurudia. Ni mzuri hadi natamani nimuweke picha humu mumuone. mtoto mtamu
 
Kizamaani! Be your self. Kuwa original. Usi jitwishe zigo usiloliweza. Do something that you can afford and maintain. Kama anakupenda anakupenda tu haijalishi show off unayotaka kumfanyia
 
Mtoto natokea majuu, na ni wakishua balaa, Afu natamani maisha anayo ishi ila mi sina uwezo huo. Ila nikimpata nita enjoy sana hela zake na tutashirikiana kimaisha .
Kwao ni hapahapa bongo na nimeshakutana nae mara mbili uso kwa uso ndo nikamuomba contact.
Pathetic! Umekosea hapo!
 
Hauna mshikaji akuachie geto lake ufanyie mauzo????? Maana sioni future hapo
Future ipo mtoto nimedate nae miaka mnne na nusu, naamini kwa vile amerudi bongo mambo yatakuwa mwake hata mwaka huu tu. WWe nipe anuani yako ntakualika kwenye vikao na harusi
 
H
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Mpeleke beach,hasa za maeneo ya mbezi kwa budget ya 40-50k unaweza fanikiwa kumridhsha pakubwa tu
 
Hivi cape town fish market bado ipo? au wamefunga kwa kodi?

mpeleke ciello

au pale rio gym juu pale golden jubilee plaza ghorofa ya tano wana kiji restaurant cha kishkaji na swimingpool kiaina halafu ukimaliza mnaingia JB bellmonte pale kula mzigo
Mkuu ulikua dar mara ya mwisho mwaka gani?
 
Thanks mkuu. iko mitaa ipi hii? afu mtoto wa kishua nazani atapendelea zaidi burger
Ukishndwa kbs mpeleke blue pearl ubungo plaza,pako vizuri mno kwa chini pale kuna kabustan cha ukweli na ni patulivu,mkimaliza mnaenda swiming juu kabisa ghorofani kupata view ya ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom