Atakuwa kalogwa huyo mtafute mshana jrHongera mkuu, ubaya yeye anachukia madawa hasa ya hospitali kwa hivyo mpaka nimpige sound sana ndio atumie hizo panadol
Atakuwa kalogwa huyo mtafute mshana jrHongera mkuu, ubaya yeye anachukia madawa hasa ya hospitali kwa hivyo mpaka nimpige sound sana ndio atumie hizo panadol
Jichunguze kwanza je unapata choo laini? na kila wiki unapata mara ngapi? jichunguze je unalala usingizi wa kutosha? ukishapata majibu hayo ndipo jaribu uw euankunyw amaji ya Uvuguvugu kwa wingi kila siku utaweza kupona hujapona unaweza kunitafuta nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habari wana,
Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na kizunguzungu na mda mwingine mpaka anatapika kabisa yani.
Hii hali inamkosesha amani na raha ya kuishi kabisa na mie huwa namuonea imani sana akiwa katika halio hio ambayo huwa inanikosesha raha pia, hasa nikiwa sijui nini chanzo chake, huwa nikimpa pain killer kinapoa kwa muda tu then kinazuka upya baada ya nguvu ya dawa kuisha!
MSAADA TAFADHALI KWA WANAOFAHAMU HUU UGONJWA WA SEVERE HEADACHE(MIGRAINES) NA TIBA ASILIA YA KUONDOSHA HARAKA HILI TATIZO WADAU!