🤣🤣🤣We utawaelewa ma lecturer kweli😅
Unampoteza hapo wanataka ajaze namba ya form 4 na AVN ya NACTEFuta iyo EQ bro. Iyo ni Equivalent za NECTA waliosoma nje za nchi.. wewe andika S1104/0074
BAAAASI
Mtu aliemaliza form 4 mwaka 2020 bado hajamaliza NTA 6 diploma. Never Ever.Unampoteza hapo wanataka ajaze namba ya form 4 na AVN ya NACTE
Yaan
Index No. / AVN Number
AVN ndio unaona wanaandika mfano unaanza na EQ0000000000
Namba ya Form 4 kisha aweke mkwaju / mbele anaandika AVN Number ya kutoka NACTE
Km hana AVN inabidi aende akaombe NACTE apewe AVN bila hivyo atakesha hapo Mzee haitaingia kwenye database hata afanye nini
Mwambie aingie hapa ajisajiri NACTE kisha afuate utaratibu apatiwe AVN
👇
NAVS | NACTVET Award Verification System
tvetims.nacte.go.tz
Sijakuelewa sasa anaomba UDOM kufanya nini? Km ni level 4 anaenda level 5 utaratibu ni HUO lazima awe na AVN kutoka NACTE huo utaratibu umeanza 2018 sio 2020Mtu aliemaliza form 4 mwaka 2020 bado hajamaliza NTA 6 diploma. Never Ever.
Ndio kwanza yupo 2nd year NTA 5.
Ngoja tumuulize dogo kama alimaliza form 6 au katoka Diploma?Sijakuelewa sasa anaomba UDOM kufanya nini? Km ni level 4 anaenda level 5 utaratibu ni HUO lazima awe na AVN kutoka NACTE huo utaratibu umeanza 2018 sio 2020
Mwaka huu au mwaka gani?Form six
Ambivert88 uyu dogo hana AVN uyu ni ana mix tu hapo kwenye namba ya form 4.Form six
Kashajibu tayari Form six1. Bayou98 una apply nn UDOM? Degree au Diploma?
Na pili, kama una apply bachelor, ulimaliza form 6 (ACSSE) au diploma?
Ambivert88 tatizo ili hapa.Nilikosea jamani baada ya kuwka form six lever mm nikaweka diploma jmn msaada nifanyeje
Sasa hapo wanamtaka aweke namba ya form 4 na AVN ya kutoka NACTEAmbivert88 uyu dogo hana AVN uyu ni ana mix tu hapo kwenye namba ya form 4.
Sijui nifanyejeAmbivert88 tatizo ili hapa.
Okay kweli hapo ndio amekosea kwa hio inabidi awapigie simu awaelekeze watamrekebishia sio Jambo gumuAmbivert88 tatizo ili hapa.
Hapo tumeelewana sasa. Pamoja sana.Sasa hapo wanamtaka aweke namba ya form 4 na AVN ya kutoka NACTE
Huoni wamemwekea mfano kabisa
Eg; S000-0000/EQ00000
Umeona kwa hio hapo inabidi awapigie simu help desk wa udom wampe msaada zaidi