Msaada jinsi ya kuapply UDOM

Bayou98

Member
Sep 28, 2022
64
88
Naomba msaada wenu wana JF..nimekwama hii sehemu jinsi ya kujaza apo chini kwenye picha.

Naomba mnisaidie.

Screenshot_20230725-175657_Chrome.jpg
 
Kama already registered basi matokeo yako ya form 4 inabidi yawepo hapo. API inakua ishayavuta.
 
Back
Top Bottom