Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 397
- 701
Wanabodi, heshima mbele..
Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku.
Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi kidogo sana kwa mwezi wa tatu (ongezeko ni chini ya 200g), wakati mwezi wa mwanzo aliongezeka kwa wastan wa kilo 2.4
Moja, naomba kushauriwa kiafya hii ikoje na tatizo ni nini maana mtoto haumwi yuko vzuri na afya ila uzito haujapanda.
Pili, naomba kwa anayefahamu daktari mzuri wa wototo kwa Dar es Salaam aniambie, nikipata na mawasiliano yake nitashukuru zaidi.
Shukrani.