Msaada application nzuri za kushushia movie

Kwahiyo mkuu kwako wewe kumfurahisha mtu ni kumpa jibu analolitaka hata kama ni uongo

Sasa video sio HD na kajibiwa sio HD sasa sijui ulitaka ajibiweje labda?

Au ulitaka ajibiwe ndio ni HD ili asiumizwe moyo wake?
Hii sio HD soma resolution hapo

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ndio haijafika hd sasa...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ulitaka tukudanganye hyo ni HD wakat sio?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
sasa hiyo solution360 ndio HD ???????

Hayaa poa wazee wa HD haina noma ili mradi ninachokiona kipo quality na clear basi kwa upeo wa macho yangu hiyo video ni High Definition.
 
Mayu hili jina huku koromije tunalipenda sana quote ya 18 umemuelekeza vizuri kuliko zote. Mtu akikosea unamuelekeza kitaalam ili kama hakua anafahamu afahamu na sio juu juu mpaka anajiona mjinga huku hajui ujinga wake ulipo
Kwahiyo mkuu kwako wewe kumfurahisha mtu ni kumpa jibu analolitaka hata kama ni uongo

Sasa video sio HD na kajibiwa sio HD sasa sijui ulitaka ajibiweje labda?

Au ulitaka ajibiwe ndio ni HD ili asiumizwe moyo wake?
 
Muuliza swali kauliza kama anaweza kupata movie za HD majibu yakawa kwa mb hizo huwezi kupata HD movies

Ikawekwa video resolution zake akajibiwa hiyo sio HD

Kutokua HD haimaanishi kitakua kibaya au kina quality mbovu.........
Hd inavigezo vyake kuwa HD, hata wewe uone ina quality nzuri kiasi gani kama sio HD itakua sio

Mimi kutokana na ukata wa mb sinaga muda na kuhangaika na movies au series za HD zenye ma mb mengi huwa nazama zangu TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - MobileTVshows kwa series
Au nazama https://www.fzmovies.net kwa movies
Napata movies mb 200 hadi 300 na series episode kuanzia mb 90 hadi 150
Quality naridhika nayo lakini sio Hd
Naangalizia kwenye Tab au Laptop
Hapa ndo maneno yenyewe sasa wacha niingie nikashushe vitu mtaa wa pili ni kuskiaga tu harufu 😁🤦🤪🏃
 
Back
Top Bottom